Friday, October 21, 2011

CHRIS TUCKER AREJEA JUKWAANI

                                                                                                                                                                                                      
               
Muigizaji maarufu wa sinema na uchekeshaji Chris Tucker amerudi tena kwenye uchekeshaji wa kwenye jukwaa ambao unajulika kama 'STAND UP COMEDY'.Muigijazi huyo maarufu mwenye miaka 38 ambae amepata umaarufu mkubwa sana katika filamu yake ya Rush Hour aliyo igiza na Jackie Chan.
           
Chris ameanza kufanya tena kazi yake ya uchekeshaji tena kuanzia tarehe 19 august na kumaliza mwezi wa november mwaka huu.