Monday, November 12, 2012

Simu na kwanini simu!!

Nokia Lumia
Duniani sahivi hakuna kingine kinachotawala kama simu!
Samsung S3
Watu wamekuwa wananunua simu hata kama inabei kubwa kiasi gani!!
HTC  
Je wewe unasababu gani za kupenda simu yako au yeyote ile unayoitaka?
Sonyericsson       
Blackberry
Vijana wa mjini wanakwambia mambo sahv ni Blackberry,wewe jeee?

Terry Out for weeks not months

Chelsea have confirmed that MRI scans revealed "no significant damage" to John Terry’s cruciate ligaments with the defender out for "weeks rather than months"

Thursday, October 11, 2012

Charlie Chaplin aliwahi kushindwa kwenye shindano la kumfananisha

Charlie Chaplin mchekeshaji muigizaji maarafu duniani inadaiwa alishindwa kwenye shindano hilo la watu waliofanana nae lililokuwa linasimamiwa na kaka yake.Kwa lugha ya kingereza tunasema look alike contest.
Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu au vichekesho vya kimya-kimya (ambapo zilikukuwa hamna kuongea wala sauti). Aliigiza, aliongoza, alizipanga script na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.
 Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takriban kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin maranyingi iliitwa "the Tramp". Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali likubwa, viatu na kofia nyeusi huku akichekesha watu.

Monday, September 24, 2012

Clay Mosque of Djenne







This mosque was built between 1906-1909 and has been repaired almost every year.This mosque is located at the urban commune and town in the inland Niger Delta region of central Mali known as Djenne.

Mjini Shule!!

Hapa mjanja nani?
Picture by Hearty Ruki