Hackers ni watu maarufu wajulikanao kuweza kuvamia security ya komputer yako wakati wao wakiwa mbali na komputer yako na kuharibu baadhi ya vitu au hata kusoma taarifa muhimu ulizo hifadhi kwenye komputer hio.
Kumekuwa na taarifa nchini Marekani ya kuwawinda watu hao maana wamekuwa wakiweza kuvujisha taarifa za serikali.
Hivi karibuni watu wenye uwezo huo wameweza kuingilia komputer ambayo inasemakana ina ulinzi mkubwa sana ya Apple na kufanikiwa kuizima na hata kuweza kulipua komputer hio ya mtumiaji kwa umbali wowote ule.
Charlie miller kijana ambae alie hack mitambo ya Apple |
Watu wengi wamekuwa wakiuliza watu wanaweza kulipua komputer yako bila hata kuwa karibu na komputer hio?mwakilishi wa Apple MacBook Charlie Miller anasema wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia software ambayo inasaidia kuendesha bettry ya komputer yako.Kijana huyo ambae alionyesha jinsi ya kuingia kwenye hio security ya Apple na kuizima mitambo ya komputer hio.
No comments:
Post a Comment