Thursday, August 4, 2011

OPRAH WINFREY ATAKA OBAMA ACHAGULIWE TENAA

Kutoka Washington Marekani mwanamama maarufu duniani Oprah Winfrey katika vipindi vya television ameeleza kwanba angependa Barack Obama achaguliwa tena na yuko tayari kumpa support yoyote ile atakayoweza kuitoa.

"I supported Barack Obama in 2008 because I believed then as I do now that he is the right man for the job,"alisikika mwana mama huyo akieleza.

Pia alisema kuwa "I wanted to share my enthusiasm for his candidacy in hopes that others would see what I saw in him".
Oprah winfrey ambae ni miongoni wanawake matajiri nchini Marekani ndie aliyekuwa kipaumbele kumuunga mkono sana raisi huyo katika uchaguzi wa mwaka 2008.

"As for 2012, if the campaign needs me, I'm happy to be of service. I'm in his corner for whatever he needs me to do,"

No comments:

Post a Comment