Tuesday, August 30, 2011

Kim Kardashian atoa EID Mubarak

Superstar Kim Kardashian atoa salamu za Eid kwa mashabiki wake ulimwenguni kote hapo jaana baada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Sio tuu Kim pia star kama will i am pia alipost katika twitter yake salamu za Eid kwa mashabiki wake ulimwenguni kote."Happy Eid to everyone who celebrates......have a gud day enshalla"aliandika kwenye twitter yake hapo jana.

No comments:

Post a Comment