Friday, August 5, 2011

Viongozi waliokaa muda mrefu madarakani

Meles Zenawi miaka 20 madarakani

Alikuwa madarakani tangu mwaka 1991 May 28 ni kiongozi wa nchi ya Ethiopia.










Idriss De'by miaka 21 madarakani

Ni kiongozi wa Chad kuanzia mwaka 1990.











Nursultan Nazarbayev madarakani miaka 21

Kiongozi wa Kazakhstan tangu mwaka April 24 1990.












Omar al-Bashir madarakani kwa miaka 22
Kiongozi wa Sudan tangu mwaka 1989 july.













Islom Karimov madarakani miaka 22.

Kiongozi wa Uzbekistan tangu mwaka 1989 june.











Blaise Compaore madarakani kwa miaka 24

Kiongozi wa Burkina Faso tangu mwaka 1987.












Yoweri Museveni madarakani miaka 26.

Kiongozi wa jirani zetu Uganda aliingia madarakani tangu mwaka 1986.











Robert Gabriel Mugabe madarakani miaka 31.


Kiongozi wa Zimbabwe tangu mwaka 1980 April.











Kiongozi Muammar al-Gadaffi madarakani miaka 46.
Kiongozi wa Libya tangu mwaka 1969 september 1 tarehe ambayo mimi nimezaliwa.





Jose Eduardo dos Santos madarakani kwa miaka 32.
Kiongozi wa Angola tangu mwaka 1979.










Tusiangalie wamekaa muda mrefu kuliko wote madarakani tuu bali pia tuangalie wamefanya nini katika nchi zao kwa muda wote waliokaa hadi leo hii na je bado wanastahili kuwepo??

1 comment:

  1. Mbona umemsahau Kambarage Nyerere ambaye amekaa madarakani miaka 24, Malkia Elizabeth ambaye amekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 50

    ReplyDelete