Monday, November 12, 2012

Simu na kwanini simu!!

Nokia Lumia
Duniani sahivi hakuna kingine kinachotawala kama simu!
Samsung S3
Watu wamekuwa wananunua simu hata kama inabei kubwa kiasi gani!!
HTC  
Je wewe unasababu gani za kupenda simu yako au yeyote ile unayoitaka?
Sonyericsson       
Blackberry
Vijana wa mjini wanakwambia mambo sahv ni Blackberry,wewe jeee?

Terry Out for weeks not months

Chelsea have confirmed that MRI scans revealed "no significant damage" to John Terry’s cruciate ligaments with the defender out for "weeks rather than months"

Thursday, October 11, 2012

Charlie Chaplin aliwahi kushindwa kwenye shindano la kumfananisha

Charlie Chaplin mchekeshaji muigizaji maarafu duniani inadaiwa alishindwa kwenye shindano hilo la watu waliofanana nae lililokuwa linasimamiwa na kaka yake.Kwa lugha ya kingereza tunasema look alike contest.
Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu au vichekesho vya kimya-kimya (ambapo zilikukuwa hamna kuongea wala sauti). Aliigiza, aliongoza, alizipanga script na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.
 Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takriban kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin maranyingi iliitwa "the Tramp". Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali likubwa, viatu na kofia nyeusi huku akichekesha watu.

Monday, September 24, 2012

Clay Mosque of Djenne







This mosque was built between 1906-1909 and has been repaired almost every year.This mosque is located at the urban commune and town in the inland Niger Delta region of central Mali known as Djenne.

Mjini Shule!!

Hapa mjanja nani?
Picture by Hearty Ruki

Friday, October 21, 2011

CHRIS TUCKER AREJEA JUKWAANI

                                                                                                                                                                                                      
               
Muigizaji maarufu wa sinema na uchekeshaji Chris Tucker amerudi tena kwenye uchekeshaji wa kwenye jukwaa ambao unajulika kama 'STAND UP COMEDY'.Muigijazi huyo maarufu mwenye miaka 38 ambae amepata umaarufu mkubwa sana katika filamu yake ya Rush Hour aliyo igiza na Jackie Chan.
           
Chris ameanza kufanya tena kazi yake ya uchekeshaji tena kuanzia tarehe 19 august na kumaliza mwezi wa november mwaka huu.                                                                                                                                          

Tuesday, August 30, 2011

Kim Kardashian atoa EID Mubarak

Superstar Kim Kardashian atoa salamu za Eid kwa mashabiki wake ulimwenguni kote hapo jaana baada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Sio tuu Kim pia star kama will i am pia alipost katika twitter yake salamu za Eid kwa mashabiki wake ulimwenguni kote."Happy Eid to everyone who celebrates......have a gud day enshalla"aliandika kwenye twitter yake hapo jana.

Thursday, August 18, 2011

Ronaldinho kurejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa baada ya miezi tisa nje

Kiungo huyo alirudishwa kwenye kikosi hicho cha timu ya taifa baada ya kuonyesha kiwango chake cha zamani.Mechi yake ya kwanza itakuwa dhidi ya Ghana mechi ambayo ni ya kirafiki.

Lakini Maicon ataachwa kwasababu ya kuumia.

Monday, August 8, 2011

Lamborghini Aventor ya Mwaka huu

Engine

The Aventador LP700-4 will be using Lamborghini's new 690 bhp (510 kW) 6.5 liter 60° V-12 engine. Known internally as the L539,[3] the new engine is Lamborghini's fourth in-house engine and second V12. It is the first all-new V12 since the Countach[10] (the other 2 being the V8 from the Urraco/Silhouette/Jalpa and the V10 in the current Gallardo).
Displacement 6,498 cc (396.5 cu in)
Max power 700 PS (510 kW; 690 bhp) @ 8.250
Max torque 690 N·m (510 lb·ft) @ 5.500
CO2 emissions 398 g/km
Combined fuel consumption 17,2 l/100 km (13,5 mpg)[11]
Performance is estimated to be 0-100 km/h (62 mph) in 2.9 seconds with a top speed of around 350 km/h (220 mph).[12] Its EPA fuel mileage is 14 miles per US gallon (17 L/100 km; 17 mpg-imp).[10]
Its transmission, a single-clutch 7-speed semi-automatic, is built by Graziano Trasmissioni.[13][14] Although being single-clutch, gear-shifts are accomplished significantly faster than a dual clutch, in 50 milliseconds. However, some other gearboxes can achieve gear-shifts in only 8 milliseconds using the pre-select option, like Volkswagen's DSG gearbox.
aption

Saturday, August 6, 2011

Hackers wafanikiwa kuweza kuizima komputer ya Apple

Hackers ni watu maarufu wajulikanao kuweza kuvamia security ya komputer yako wakati wao wakiwa mbali na komputer yako na kuharibu baadhi ya vitu au hata kusoma taarifa muhimu ulizo hifadhi kwenye komputer hio.

Kumekuwa na taarifa nchini Marekani ya kuwawinda watu hao maana wamekuwa wakiweza kuvujisha taarifa za serikali.
Hivi karibuni watu wenye uwezo huo wameweza kuingilia komputer ambayo inasemakana ina ulinzi mkubwa sana ya Apple na kufanikiwa kuizima na hata kuweza kulipua komputer hio ya mtumiaji kwa umbali wowote ule.
Charlie miller kijana ambae alie hack mitambo ya Apple

Watu wengi wamekuwa wakiuliza watu wanaweza kulipua komputer yako bila hata kuwa karibu na komputer hio?mwakilishi wa Apple MacBook Charlie Miller anasema wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia software ambayo inasaidia kuendesha bettry ya komputer yako.Kijana huyo ambae alionyesha jinsi ya kuingia kwenye hio security ya Apple na kuizima mitambo ya komputer hio.

"I don't want to wake up one day and have my computer blow up," said Miller, who is an avid user of Apple products. "I want to be the one looking at that -- not the bad guys."


Friday, August 5, 2011

Viongozi waliokaa muda mrefu madarakani

Meles Zenawi miaka 20 madarakani

Alikuwa madarakani tangu mwaka 1991 May 28 ni kiongozi wa nchi ya Ethiopia.










Idriss De'by miaka 21 madarakani

Ni kiongozi wa Chad kuanzia mwaka 1990.











Nursultan Nazarbayev madarakani miaka 21

Kiongozi wa Kazakhstan tangu mwaka April 24 1990.












Omar al-Bashir madarakani kwa miaka 22
Kiongozi wa Sudan tangu mwaka 1989 july.













Islom Karimov madarakani miaka 22.

Kiongozi wa Uzbekistan tangu mwaka 1989 june.











Blaise Compaore madarakani kwa miaka 24

Kiongozi wa Burkina Faso tangu mwaka 1987.












Yoweri Museveni madarakani miaka 26.

Kiongozi wa jirani zetu Uganda aliingia madarakani tangu mwaka 1986.











Robert Gabriel Mugabe madarakani miaka 31.


Kiongozi wa Zimbabwe tangu mwaka 1980 April.











Kiongozi Muammar al-Gadaffi madarakani miaka 46.
Kiongozi wa Libya tangu mwaka 1969 september 1 tarehe ambayo mimi nimezaliwa.





Jose Eduardo dos Santos madarakani kwa miaka 32.
Kiongozi wa Angola tangu mwaka 1979.










Tusiangalie wamekaa muda mrefu kuliko wote madarakani tuu bali pia tuangalie wamefanya nini katika nchi zao kwa muda wote waliokaa hadi leo hii na je bado wanastahili kuwepo??

Tiger Woods arejea kwa Kishindo

Baada ya kukaa muda mrefu na majeruhi ya mguu Tiger Woods amerejea kwenye ligi hio akiwa mzima wa afya mara baada ya kupona matatizo yake ya mguu.
Tiger Woods akirejea baada ya kukaa miezi mitatu nnje ya major championships.

Tiger alionyesha makali yake hapo Firestone akiwa na mpinzani wake Darren Clarke walipata pongezi kubwa sanaa baada ya kupiga shots zake za awali ambazo watu walionyesha kufurahia kwa kuamini kwamba yule Tiger Woods wazamani amerejea.

"My swing was more of a wipey swing, just kind of wiping it out there so I wasn't getting a full transfer of energy. Now I'm swinging easier. I am not even hitting it hard yet and that's what's fun. I'm hitting it farther without any more effort. Today, some of the drives I hit out there, I got my power back".alisikika Tiger Woods akieleza.

Thursday, August 4, 2011

OPRAH WINFREY ATAKA OBAMA ACHAGULIWE TENAA

Kutoka Washington Marekani mwanamama maarufu duniani Oprah Winfrey katika vipindi vya television ameeleza kwanba angependa Barack Obama achaguliwa tena na yuko tayari kumpa support yoyote ile atakayoweza kuitoa.

"I supported Barack Obama in 2008 because I believed then as I do now that he is the right man for the job,"alisikika mwana mama huyo akieleza.

Pia alisema kuwa "I wanted to share my enthusiasm for his candidacy in hopes that others would see what I saw in him".
Oprah winfrey ambae ni miongoni wanawake matajiri nchini Marekani ndie aliyekuwa kipaumbele kumuunga mkono sana raisi huyo katika uchaguzi wa mwaka 2008.

"As for 2012, if the campaign needs me, I'm happy to be of service. I'm in his corner for whatever he needs me to do,"