Masaa machache kabla ya muimbaji maarufu Drake kuelekea Birmingham UK kwa shoo yake ya mwisho kwa mji huo,Drake alisimama katika kiwanja cha mazoezi cha Manchester United na kukutana na baadhi ya wachezaji akiwemo Rio Ferdinand ambae ni mpenzi mzuri wa Young Money.
Rio akimkabidhi Drake mpira uliosainiwa na wachezaji wa Manchester united.
Friday, January 14, 2011
Laptop mpya za sony zenye 3d na nvidia mpya ya GeForce
Sony wameingia katika ulimwengu wa 3d laptops kwa kutoa Vaio F Series 3D notebook.
Laptop hizo mpya zenye features kama a new intel core i7 na new nvidia Geforce GT 540M graphisc card with 1gm dedicated RAM na pia ina 3D-backlit 16 inch display(1,920x 1,080 resolution) na pair za active shutter 3D glasses na mwisho ina button ya kubonyeza 3D ambayo inabadilisha 2D video na picha kwenda 3D.Zitaanza kuingia dukani kuanzia mwezi ujao kwa bei ya $1,700.
Thursday, January 13, 2011
The world tallest skyscraper
Dubai Burja Khalifa ni jengo refu zaidi duniani lenye urefu wa mita 828 lililoto mji wa dubai.Jengo hili lilianza kujengwa tarehe 21 december 2004 na kumalizwa 1 october 2009,na kufunguliwa 4 january 2010.
Huu ni mwenekano wa mbali wa jengo hilo.jengo lenye gorofa 160 na kuendelea!!
Moja ya vivutio vya jengo hilo.
Siku ya ya ufunguzi wa jengo!
Huu ni mwenekano wa mbali wa jengo hilo.jengo lenye gorofa 160 na kuendelea!!
Moja ya vivutio vya jengo hilo.
Siku ya ya ufunguzi wa jengo!
Wednesday, January 12, 2011
Ombaomba mwenye sauti kama ya redio apata kazi kutokana na sauti yake.
Ombaomba huyu ambae anaishi huko marekani amepata umaarufu kupitia you tube mara baada ya jamaa mmoja kuweka video hii na kupata watazamaji wengi.Ombaomba huyo ambae amepata kazi ya utangazaji kwenye kituo cha redio huko Marekani alikuwa ni muathirika wa madawa ya kulevya.
Uwanja wetu unaleta mafanikio yaliyokusudiwa kweliii?
Umepita muda tangu kiwanja hiki kilipojengwa nnchini kwetu,kusema kweli ni kiwanja kikubwa na kizuri sio tu Tanzania bali na hata Africa.
Je ni mafinikio yapi tumeyapata tangu kujengwa kwa kiwanja hiki kipya hadi leo hii hapa TANZANIA.
Ni kweli yale yaliyokusudiwa katika kiwanja hiki yamefikiwa na maendeleo gani basi yanayopatika kwa ajili ya mafanikio ya kiwanja hiki!!!

Tuesday, January 11, 2011
Difference between COMPLETE and FINISHED
Some People Say: "There Is NO Difference Between COMPLETE & FINISHED" , But There IS and here is the example:
When You Marry The Right ONE, You Are COMPLETE.
And When You Marry The Wrong ONE, You Are FINISHED.
AND
When The Right ONE Catches You With The Wrong ONE, You Are COMPLETELY FINISHED.
Louis vuitton ateka soko duniani kwa bidhaa zake
Hapa ndo mambo yote yalipo anzia sasaa!
Sasa hivi hadi bastola inakaa mahala pakeee!
wakina dada nao hawako nyumaaa!
Viatu vya ukweli kwa ajili ya wa kaka pande zilee!
Jamaa hadi kwenye cover za simu!
Hapa ndo mwisho wa matatizo!
Sasa hivi hadi bastola inakaa mahala pakeee!
wakina dada nao hawako nyumaaa!
Viatu vya ukweli kwa ajili ya wa kaka pande zilee!
Jamaa hadi kwenye cover za simu!
Hapa ndo mwisho wa matatizo!
Monday, January 10, 2011
Jose Mourinho kushinda tunzo ya fifa kocha bora wa mwaka
Kocha wa klabu ya Real madrid ashinda tunzo ya fifa ya kocha bora wa mwaka huu kutokana na mafanikio makubwa ya klabu yake ya zamani ya Inter Milan msimu uliopita. Mourinho sasa yuko Real Madrid ambapo klabu hio inaonyesha mafanikio makubwa ikiwa pointi mbili nyuma ya klabu ya Barcelona na ikiwa inaendelea kufanya vizuri katika UEFA.
Bugatti Veyron mingoni mwa magari yanayoitikisa dunia
Buggati veyron gari ilipewa jina la mwendesha magari maarufu Pierre Veyron wa mwaka 1939.
. Hii ni moia ya Super Sport version is the fastest road-legal car in the world, with a top speed of 431.07 km/h (267.85 mph).pamoja na gharama kubwa za kununua na kulitunza gari hii,pia imeweka recordi ya kuendeshwa nawatu maarufu ulimwenguni,akiwemo maactor na wachezaji mpira mbali mbali duniani.TOM CRUISE,miongoni mwa watu maarufu wanao miliki gari hili!!!

Sunday, January 9, 2011
Miongoni mwa movie mpya mwaka huu!!!
Kama ni mpenzi wa filamu nadhani utakuwa unajua mfulilizo wa filamu hii ya Pirates of the Caribbean.
Hii movie ambayo itatoka mwezi wa mei mwaka huu!!
Hii movie ambayo itatoka mwezi wa mei mwaka huu!!
Subscribe to:
Posts (Atom)