Kocha wa klabu ya Real madrid ashinda tunzo ya fifa ya kocha bora wa mwaka huu kutokana na mafanikio makubwa ya klabu yake ya zamani ya Inter Milan msimu uliopita. Mourinho sasa yuko Real Madrid ambapo klabu hio inaonyesha mafanikio makubwa ikiwa pointi mbili nyuma ya klabu ya Barcelona na ikiwa inaendelea kufanya vizuri katika UEFA.
No comments:
Post a Comment