Friday, January 14, 2011

Laptop mpya za sony zenye 3d na nvidia mpya ya GeForce

Sony wameingia katika ulimwengu wa 3d laptops kwa kutoa Vaio F Series 3D notebook.
Laptop hizo mpya zenye features kama a new intel core i7 na new nvidia Geforce GT 540M graphisc card with 1gm dedicated RAM na pia ina 3D-backlit 16 inch display(1,920x 1,080 resolution) na pair za active shutter 3D glasses na mwisho ina button ya kubonyeza 3D ambayo inabadilisha 2D video na picha kwenda 3D.Zitaanza kuingia dukani kuanzia  mwezi ujao kwa bei ya $1,700.

No comments:

Post a Comment