Tuesday, January 25, 2011

Spartacus is Back!!!

Ile tamthilia maarufu ya Spartacus imerudi tena hewani ikiwa inajulikana kama "SPARTACUS GOD OF THE ARENA".Ikiwa tayari inaangoza kwa kuangalia na watu,tamthilia hii ambayo wengi walihofu kuwa haito endelea sasa imerudi tene kwenye Luninga.

No comments:

Post a Comment