Mark Zuckerberg mwenye miaka 26 ni kijana tajiri duniani anaemiliki mtandao wa facebook.
Facebook iliundwa mwaka 2004 na Mark Zuckerberg na wenzie Dustin Moskovitz,Eduardo Severin na Chris Hughes wakati walipokuwa wanafunzi katika chuo cha Harvad huko Marekani.
Mark Zuckerberg mwaka 2010 alitangazwa kua Man of the year na gazeti Time huko marekani.
No comments:
Post a Comment