Boat hiyo ya kitajiri ambayo imetengenezwa German inaendeshwa kila kitu na ipad isipokuwa usukani tuu.
Kwa kutumia ipad wateja wa kwenye boat hiyo watakuwa na uwezo wa kuweka muziki,kuzima na kuwasha taa katika vyumba vyao.Captain wa boat hiyo humpa kila mtu ipad wakati wa kuingia katika boat hiyo.
P.Didy na girlfriend wake kim Porter na watoto wao D'Lila na Jessie ni miongoni mwa watu walio panda katika boat hiyo ambayp P.Didy amelipa $850,000 kwa wiki katika boat hiyo.
P.Didy na girlfriend wake wakiburudika katika boat hiyo.
Hapa ni sehemu ya ndani ya boat hiyo.
Muonekano wa boat hiyo kwa mbali.
No comments:
Post a Comment