Masaa machache kabla ya muimbaji maarufu Drake kuelekea Birmingham UK kwa shoo yake ya mwisho kwa mji huo,Drake alisimama katika kiwanja cha mazoezi cha Manchester United na kukutana na baadhi ya wachezaji akiwemo Rio Ferdinand ambae ni mpenzi mzuri wa Young Money.
Rio akimkabidhi Drake mpira uliosainiwa na wachezaji wa Manchester united.
No comments:
Post a Comment