Sunday, January 30, 2011

Vinywaji Vinavyotengenezwa na bangi kuingia madukani!!

Bangi ambayo ni madawa yanayopigwa maarufuku miongoni mwa nchi nyingi duniani sasa ni miongoni mwa madawa yatumiwayo na watu wengi zaidi.Na ni miongoni mwa zao lijulikanalo sanaa duniani kuliko yotee.
Jijini California nchini Marekani madawa hayo sasa yanauzwa kwa njia ya kinywaji kwahalali.



No comments:

Post a Comment