Wednesday, February 9, 2011

Apple ipad 2 iko jikoni

Watengenezaji wa kampuni ya Apple tayari wako matengenezoni tayari kwa kuachia mzigo mpya wa ipad 2 baada ya ile ya kwanza kufanya vizuri sokoni baada ya tayari kufanikiwa kuuza takriban billioni 5 ya mzigo wake.
Hii inaonekana na tabia ya kihistoria ya iphone ya kutoa toleo jipya kila mwaka,habari zisizo rasmi zinasema tutegemee kutoka kwa ipad 2 katika kipindi cha mwezi wa April.

No comments:

Post a Comment