Tamthilia yenye mvuto wa kipekee inayohusu familia tatu ambazo zina uhususiano.Ni tamthilia yenye urefu wa nusu saa tuu.
Tamthilia hii yenye kuonyeshwa na kituo cha luninga cha CBS,ilianza rasmi kurushwa hewani mwaka 2009 na kuangaliwa na watazamaji 12.61 milioni.Tamthilia hio imejinyakulia tuzo mbalimbali ikiwemo ya Emmy Award katika kitengo cha outstanding comedy series.
Na mpaka sasa ni tamthilia inayoendelea kukua kwa kutoa mafunzo ya kifamilia kwa familia mbalimbali na kuendelea kutoa mfululizo wa kazi zake.

No comments:
Post a Comment