Je ule upepo mwanana wa mabadiliko unaovuma hizi pande fulani za Afrika utavuma na pande nyingine za Afrika ambao kwa sasa unahitajika zaidi.Lile tatizo la rushwa,na ukosefu wa ajira kwa jamii na mgandamizo wa wananchi kutoka kwa serikali ni miongoni mwa matatizo sugu yanayoikumba sehemu kubwa ya afrika kwa hivi sasa.
Je ni kweli sehemu hizo zinahitaji upepo huu mwanana wa mabadiliko ya serikali au bado wanahitaji kuburuzwa na je watu wenyewe wako tayari na mabadiliko hayo?Na je tumejipanga kwa madiliko hayo?Na je upepo huu wa mabadiliko unazuru nini sehemu nyingine za Afrika.
"Every beginning is a consequence - every beginning ends some thing".

No comments:
Post a Comment