Natoa pole kwa ndugu zetu wote walio athirika na maafa ya mlipuko Tanzania(Dar-es-salaam),kwanza kwa wale waliopoteza ndugu jamaa na marafiki na kwa wale waliopoteza mali na makazi.Ningependa kuwaambia tukopamoja wote kwenye kipindi hiki kigumu na tunazidi kuwaombea dua nyingi sana.
No comments:
Post a Comment