Thursday, February 10, 2011

Real madrid yatangazwa kuwa club bora tajiri Duniani 2009-10

Madrid imetengazwa kuwa klabu tajiri duniani kwa mara ya sita mfululizo ikifuatiwa na klabu ya Barcelona.Baada ya kutangaza mfululizo wa klabu ishirini bora ambayo ya Manchester city imesogea kutoka nafasi ya 20 kwenda nafasi ya 11.
Kwa mujibu wa Deloitte Football Money League 2011 imetengaza miongoni mwa klabu 6 tajiri duniani12 zinatoka uingereza.


Manchester united ni klabu ya 3 tajiri duniani.Klabu ambayo inakubalika zaidi na zaidi.


.
DELOITTE MONEY LEAGUE
CLUB


1. Real Madrid
2. Barcelona
3. Manchester United
4. Bayern Munich
5. Arsenal
6. Chelsea
7. AC Milan
8. Liverpool
9. Inter
10. Juventus
11. Manchester City
12. Tottenham
13. Hamburg
14. Lyon
15. Marseille
16. Schalke 04
17. Atletico Madrid
18. AS Roma
19. VfB Stuttgart
20. Aston Villa
REVENUE FOR
2009-10

£359.1m
£325.9m
£286.4m
£264.5m
£224.4m
£209.5m
£193.1m
£184.5m
£184.1m
£167.8m
£125.1m
£119.8m
£119.7m
£119.6m
£115.5m
£114.5m
£101.9m
£100.5m
£94m
£89.6m

No comments:

Post a Comment