Tuesday, February 22, 2011

Apple ipo mazungumzoni kuongeza ubora wa sauti wa muziki inayodownlodiwa

Apple wako kwenye mazungumzo na kampuni nyingine ya utengenezaji wa muziki kuboresha uzuri wa nyimbo wanazouza.Kampuni hio imesema inataka kutoa sauti ya muziki halisi kutokana na nyimbo yenyewe kama ilivyotengenezwa.
"Paul McCartney can master The Beatles albums all he wants, (but) when you play them through a Dell computer, it sounds like you're playing them through a portable television," Iovine said.

No comments:

Post a Comment