Ellen Johnson Sirleaf ni mwanamke raisi wa kwanza Afrika.
Ellen Johnson ni raisi wa Liberia ambaye amechukua uongozi kuanzia mwaka 2006 ambae mpaka sasa ndio raisi mwanamke Afrika.N raisi wa 24 wa Liberia. Mwaka 2006 gazeti maarufu la Forbes limemtangaza Sirleaf kama mwanamke 51 kwa ushajaa duniani,na mwaka 2010 gazeti la Newsweek limemtaja kama mmoja wa viongozi kumi bora duniani,licha ya hayo pia gazeti la The economist limemtaja kama raisi mzuri ambaye aliyewahi kutokea nchini humo.
No comments:
Post a Comment