Monday, February 21, 2011

The Hangover 2 ikonjiani kutoka!

Ile filamu ya kusisimua ya Hangover iliyotolewa mwaka jana hivi sasa iko njiani kutolewa part 2 yake.Filamu hio ambayo bado iko jikoni inataarishwa.Trailer ya filamu hio itaanza kuonyeshwa kuanzia mwisho wa wiki hii.
Filamu hii itaingia kwenye theater kuanzia mwezi wa Mei mwaka huu.Huu ni mwendelezo wa filamu ya kuchekesha na kuelimisha ndani yake.

No comments:

Post a Comment