Adobe wafanikiwa kuingia kwenye ulimwengu wa Apple baada ya jitihada za muda mrefu.
Mara nyingi Apple ilikuwa ikikataa kuiweka Adobe kwenye Apple maana Adobe imekuwa haifanyi vizuri kwenye computer za macintosh.Hii inaonyesha Adobe wafanikiwa kushinda vita hizi kwa kuweza kuwashawishi Apple kuingia nao mkataba.
No comments:
Post a Comment