Muigizaji maarufu wa Hollywood Sylver Stallon au kama wengine tunavyomjua kwa jina la Rambo sasa aingia kwenye ulimwengu wa mavazi mara baada ya kuamua kutengeneza nguo za kiume kwa kutumia jina Sly Inc ambayo itafunguliwa mwakani.
"I thought the time is now. I've lived a life where I know what has worked and what hasn't worked. Clothingbuilding a character," alisikika akisema muigizaji huyo maarufu. is the first step to
Nguo zake za mwanzo zitahusisha jeans,shirts,outwear na underwear,pamoja na viatu vya michezo.Wateja wake anaowategemea ni kwenye umri kari ya 20-40.
No comments:
Post a Comment