Dwayne Johnson ajulikana kama The Rock ni mmoja kati wanafamilia ambae wametokea katika asili ya mieleka.Babu yake Peter Maivia na baba yake Rocky Johson wao ndio waliomfanya yeye kuhamasika na kuingia katika ulimwengu huu wa mieleka.
THE ROCK'S FATHER |
The Rock pia ni muigizaji wa filamu ambae wengi wamemjulia katika movie ile ya "THE GAME PLAN"ambayo ilifanya vizuri sana sokoni.
Mwaka 2007 The rock aliweza kupata kumbukumbu katika kitabu cha "Guiness book of world record"ambapo alitajwa kuwa mugizaji wa kwanza kulipwa hela nyingi katika filamu yake ya kwanza,ambae alikuwa akipata milioni $5.5
Mwaka jana alitoka na filamu maarufu ya ambayo inatamba mpaka sasa ya "FASTER".The rock ni muigizaji maarufu na mwana mieleka maarufu duniani mpaka sasa.
No comments:
Post a Comment