Mshindi wa Formula one Sebastian Vettel ameongeza mkataba wake wa kazi na Red Bull mpaka mwaka 2014.
Mjerumani huyo ambae alichukua ushindi wa dunia hapo mwaka jana(2010) Abu dhabi ambae tetesi zilipita kuwa anampango wa kusaini mkataba na Ferrari amemaliza tetesi hizo baada ya kuanguka mkataba jumatatu baada ya kuongeza miaka miwili katika mkataba wake na Red Bull.
Vettel aliiambia Red Bull' website kuwa: "The reason why I'll stay until 2014 with Red Bull Racing is that I feel very comfortable in the team.
"I am proud to be part of the team, and I am proud of what we have archived so far and will achieve together in the future."
Vettel ni kijana mdogo wa kwanza kushinda mashindano hayo akiwa na umri wa miaka 23 tu.

No comments:
Post a Comment