Arnold Schwarzenegger muigijazi maarufu aongea mkataba wa kufanya filamu ya "True Lies 2".
Ni aliyekuwa kiongozi wa zamani wa California ambaye baada ya kumaliza muda wake wa uongozi ameamua kurudi tena kwenye ulimwengu wa filamu na True Lies 2 ni miongoni mwa filamu anayotarajia kuifanya mara baada ya ile yakwanza aliyokwisha kuonesha umahiri wake.
No comments:
Post a Comment