Saturday, March 5, 2011

Lipia vitu vyako kupitia simu ya Blackberry au iphone

Sasa unaweza lipia vitu vyako mara baada ya kununua kupitia simu yako ya blackberry au iphone kutumia credit card yako mara baada ya kufanya manunuzi.

No comments:

Post a Comment