Thursday, March 3, 2011

Manchester City yamsimamisha Kolo Toure baada ya kugundulika anatamia madawa baada ya vipimo kwenye FA


Kolo toure agundulika anatumia madawa baada ya vipimo wakati wa vipimo katika FA.Manchester City umemsimamisha mchezaji huyo kushiriki michezo yoyote ile katika klabu hio hadi hapo utakapofanyika uchunguzi zaidi.

Kole toure kutoka Ivory coast alihamia kwenye klabu hio mwaka 2009 atakosa mechi ya wiki hii(jumamosi) na Wigan.

"Manchester City confirm that the FA has informed Kolo Toure that an ‘A-sample’ provided by him has tested positive for a specified substance," said a statement on the club's official website.

No comments:

Post a Comment