Thursday, March 3, 2011

Nauli za daladala zimepanda

Nauli ya mwanafunzi ni 150
Wale wenzangu na mie wa daladala mambo yamekuwa magumu maana nauli imepanda kama ilivyotangazwa na meneja wa mawasiliano kwa umma.
Mambo yenyewe ndo kama hayaaaaa!

No comments:

Post a Comment