JUST 5 ni simu aina mpya ambayo ni rahisi na maalumu zaidi kwa watu wazima.
Simu hiyo ambayo inasehemu ya kupiga,kupokea na kutuma messeji tu,simu hio herufi zake ni kubwa kuwezesha watu wenye matatizo ya macho kuona kwa urahisi.
Simu hio yenye uwezo wa kukaa na chargi kwa siku sita na inapatikana kwa $90 tu.
No comments:
Post a Comment