Monday, March 14, 2011

Oprah Winfrey kutajwa mtu mashuhuri mwenye kuzalisha hela nyingi kwa mwaka 2010

Gazeti maarufu la American magazine Parade limetaja orodha ya watu maarufu wanaozalisha hela nyingi kwa mwaka.Gazeti hilo lilihusisha watu kama wacheza filamu,wanamuziki,wachekeshaji na watangazaji maarufu wa redio na luninga.Oprah aliibuka mshindi akifatiwa na bendi ya iconic rock AC/DC na watatu ni John Depp.
Na wengine walikuwepo ni pamoja na Charlie Sheen(two and half men),Beyonce Knowles na mumewe Jay-Z,Lady Gaga na Sandra Bullock.

No comments:

Post a Comment