Adam Nditi ni kijana wa kitanzania anaechezea timu maarufu duniani ya Chelsea,Adam ambae yuko katika academy ya klabu hio ambae anacheza kama kiungo mshambuliaji wa timu hio.Adam Nditi alijiunga na klabu hio mwaka 2008 mara baada ya kufika nchini humo,Adam kwasasa ni mwanafunzi ambae anasoma nchini hapo ambae ataweza kusajiliwa pale atakapotimiza umri wa miaka 16.Adam amecheza mechi yake ya kwanza na Totenham Hotspur mwaka 2010.
No comments:
Post a Comment