Yule mchekeshaji marufu kwa jina Martin Lawrence amerudi tena na movie kali na ya kusisimua pamoja na ya kuchekesha inayokwenda kwa jina la "Big Mommas Like Father Like Son"kwajina jingine kama Big Momma's House no 3.
Filamu hio ambayo imeingia kwenye sinema february 18 2011,humo utaona umahiri wa mwigizaji maarufu Martin Lawrence ambae anaelewa nini maana ya uchekeshaji.
No comments:
Post a Comment