Mbunge huyo mwenye miaka 35 alitolewa bungeni mara baada ya kuingia na heleni na miwani ya kuzua jua ndani ya bunge.Hata hivyo mbunge huyo kijana kapania kupigania haki ya wabunge kuvaa heleni,cheni na kifia wakiwa bungeni.
Mbunge huyo ambae kavaa kama 50 cent aliondoka bungeni na gari yake aina ya hammer huku akiadi kurudi na sheria kamili ya kuvaa atakavyo.
Mbunge huyo ambae kavaa kama 50 cent aliondoka bungeni na gari yake aina ya hammer huku akiadi kurudi na sheria kamili ya kuvaa atakavyo.
No comments:
Post a Comment