Mara tuu ya ipad 2 kutanga rasmi ni lini itaanza rasmi kuingia sokoni bei ya ipad za zamani imeanza kupungua.
16 GB(zenye wi-fi tu) ipad zilikuwa zinauzwa alhamis kwa bei ya $399 -- $10032GB Wi-Fi sasa zinauzwa $499, na 64GB ni $599. Bei zinapishana kutoka $729 kwa 64GB na zenye Wi-Fi na 3G.Na ipad 2 ambayo itaingia ambazo zitaingia madukani kuanzia march 11 zina bei sawa na zile za zamani ambayo ni kuanzia $499 mpaka $829.
Na wale wote ambao wamenunua ipad wiki mbili zilizopita kutoka apple watarudishiwa $100.
No comments:
Post a Comment