Thursday, March 3, 2011

ipad 2 kuingia sokoni

Iko faster zaidi ya ipad 1 na kitu cha kuvutia zaidi ni kuwa ipad 2 ni nyembamba zaidi kuliko ipad 1.
Graphics perfomance yake imeongezwa mara tisa zaidi,na nyepesi zaidi.
Itaanza kusambazwa duniani kuanzia machi 12 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment